80- Ahmad bin Muhammad bin Ziyaad ametuhadithia: Hasan bin ´Aliy bin Shabiyb ametuhadithia: Nilimsikia ´Amr bin ´Uthmaan akisema: Muhammad bin Harb ametuhadithia: al-Ahwas bin Hakiym ametuhadithia, kutoka kwa al-Muhaajir[1] bin Habiyb, kutoka kwa Abu Tha´labah al-Khushaniy aliyeeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) huwatazama waja Wake katika kila usiku wa nusu Sha´baan ambapo akawasamehe waumini, akawapa muhula makafiri na akawaacha wenye chuki na chuki zao mpaka waachane nazo.”
[1] al-Albaaniy amesema:
”Imetajwa Muhaajir lakini inatakiwa iwe Muhaasir. Ni kosa la uandishi na huja mara nyingi jina hili.” (as-Sunnah (511) ya Ibn Abiy ´Aaswim)
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 160
- Imechapishwa: 04/05/2020
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket