Swali: Ni ipi hukumu ya kushiriki katika wiki maalum zinazofanyika kama wiki ya usafi au wiki ya miti, ambapo mtu anaombwa kutoa neno, kuongoza hafla au kushiriki kwa namna nyingine?
Jibu: Hakuna ubaya katika jambo hili, kwa kuwa lina maslahi ya jumla kwa waislamu. Haya si katika aina ya sikukuu, bali ni aina ya kushirikiana katika mambo yenye manufaa. Ni ushirikiano katika mambo yanayowasaidi watu na si katika mambo yaliyoharamishwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Jambo hili linahusiana na kusaidiana katika wakati maalum au wakati fulani kwa ajili ya kuleta manufaa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3539/حكم-المشاركة-في-اسابيع-النظافة-والشجرة
- Imechapishwa: 05/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kushiriki katika wiki maalum zinazofanyika kama wiki ya usafi au wiki ya miti, ambapo mtu anaombwa kutoa neno, kuongoza hafla au kushiriki kwa namna nyingine?
Jibu: Hakuna ubaya katika jambo hili, kwa kuwa lina maslahi ya jumla kwa waislamu. Haya si katika aina ya sikukuu, bali ni aina ya kushirikiana katika mambo yenye manufaa. Ni ushirikiano katika mambo yanayowasaidi watu na si katika mambo yaliyoharamishwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Jambo hili linahusiana na kusaidiana katika wakati maalum au wakati fulani kwa ajili ya kuleta manufaa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3539/حكم-المشاركة-في-اسابيع-النظافة-والشجرة
Imechapishwa: 05/09/2026
https://firqatunnajia.com/kushiriki-katika-zoezi-la-wiki-ya-usafi-wiki-ya-miti-na-mfano-wake/