Kurudi katika nchi ya kikafiri kwa ajili ya biashara

Swali: Nimehajiri kutoka katika nchi ya kikafiri na kuja katika nchi hii. Inajuzu kwangu kurudi kusafiri katika nchi yangu mara moja moja kwa ajili ya biashara zangu?

Jibu: Ndio. Inajuzu kwa muislamu kusafiri kwenda katika nchi ya kikafiri kwa ajili ya biashara na kufanya mikataba na kampuni. Inajuzu, hii ni sababu sahihi. Inajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017