Swali: Nimehifadhi pesa kwa ajili ya kuhajiri kutoka katika nchi ya kikafiri na hajj inakaribia. Nihiji hijjah yangu ya kwanza au nifanye Hijrah?

Jibu: Hiji hijjah yako ya kwanza. Kuhiji hajj ya faradhi ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uislamu wakati Hijrah ni wajibu tu kipindi mtu yuko na uwezo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017