Swali: Ni lipi bora kurefusha swalah – hali ya kusimama, Rukuu´ na Sujuud – katika swalah ya Tahajjud licha ya kuwa mama yangu ataswali peke yake kwa sababu inamkuwia vigumu kwake jambo hilo hata kama ataswali kwa kuekti chini au kukhafifisha swalah ili aweze kuswali pamoja nasi?
Jibu: Bora ni kurefusha kutokana na manufaa ya wengi.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
- Imechapishwa: 02/07/2022
Swali: Ni lipi bora kurefusha swalah – hali ya kusimama, Rukuu´ na Sujuud – katika swalah ya Tahajjud licha ya kuwa mama yangu ataswali peke yake kwa sababu inamkuwia vigumu kwake jambo hilo hata kama ataswali kwa kuekti chini au kukhafifisha swalah ili aweze kuswali pamoja nasi?
Jibu: Bora ni kurefusha kutokana na manufaa ya wengi.
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
Imechapishwa: 02/07/2022
https://firqatunnajia.com/kurefusha-au-kufupisha-tahajjud/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)