Swali: Ni lipi bora kurefusha swalah – hali ya kusimama, Rukuu´ na Sujuud – katika swalah ya Tahajjud licha ya kuwa mama yangu ataswali peke yake kwa sababu inamkuwia vigumu kwake jambo hilo hata kama ataswali kwa kuekti chini au kukhafifisha swalah ili aweze kuswali pamoja nasi?

Jibu: Bora ni kurefusha kutokana na manufaa ya wengi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
  • Imechapishwa: 02/07/2022