Imamu amekumbuka kuwa ameswalisha bila wudhuu´

Swali: Imamu akiwaswalisha watu na baada ya kumaliza kuswali akakumbuka kuwa alikuwa hana wudhuu´ – je, ni lazima kwa waswaliji kuirudi swalah yao?

Jibu: Hapana. Hawatoirudi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
  • Imechapishwa: 02/07/2022