Mwanamke anapomzindua mwanamke mwenzake ndani ya swalah

Swali: Wakati mwanamke anamwongoza na akamzindua mwanamke mwenzake juu ya kusahau ndani ya swalah atatakiwa kusema “Subhaan Allaah” au kupiga makofi?

Jibu: Kusema “Subhaana Allaah”.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 140
  • Imechapishwa: 02/07/2022