Swali: Kuna mtu amepoteza simu yake msikitini. Inafaa kwake kumuuliza imamu au kuwauliza baadhi ya wale walioko msikitini au kufanya hivo ni kama kutangaza kitu kilichopotea?

Jibu: Awaulize nje ya msikiti. Asiwaulize ndani ya msikiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 04/12/2020