Mke anamegua kidogokidogo pesa ya matumizi ya nyumbani

Swali: Baadhi ya wanawake ikiwa mume kwa mfano amewapa pesa za matumizi basi wanamegua kidogo kidogo kutoka katika pesa hii mpaka inakusanyika na hatimaye inakuwa pesa nyingi na hivyo wananunua dhahabu pasi na idhini wala mume wake kutambua.

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Pesa ambayo amempa mume wake kwa ajili ya matumizi ikibaki basi ni kwa ajili ya matumizi. Haifai akanunua dhahabu na vyenginevyo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaad-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6186/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D8%AE%D8%B0-%D8%A7%D9%84%D8%B2%D9%88%D8%AC%D8%A9-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%81%D9%82%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AE%D8%B5%D8%B5%D8%A9-%D9%84%D9%84%D8%A8%D9%8A%D8%AA
  • Imechapishwa: 04/12/2020