Swali: Kuporomoka kunafahamisha ukafiri?

Jibu: Kunafahamisha ukafiri. Hii ni moja katika dalili za wanaosema kuwa ni kafiri [asiyeswali].

Swali: Kuporomoka kwa matendo kwa kutokuswali au kupitwa na swalah?

Jibu: Kunakusudiwa kuacha swalah kwa makusudi. Kuhusu ikimpita amekumbwa na msiba mkubwa. Lakini akikusudia kuiacha, ima kwa ajili ya kulala au ameisahau au kwa kughafilika, ni kama ameikosa familia na familia yake. Ni kama kwamba amepata msiba katika mali na familia yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22507/هل-حبوط-العمل-يدل-على-الكفر
  • Imechapishwa: 30/06/2023