Swali: Ni ipi hukumu ya kupindisha maana ya sifa za Allaah kutokana na matamanio ya nafsi?
Jibu: Ni haramu. Inaweza kuwa kufuru na inaweza vilevile kuwa maasi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/180)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kupindisha maana ya sifa za Allaah kutokana na matamanio ya nafsi?
Jibu: Ni haramu. Inaweza kuwa kufuru na inaweza vilevile kuwa maasi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/180)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/kupindisha-maana-kwa-kufuata-matamanio/