Kupindisha maana kwa kufuata matamanio

Swali: Ni ipi hukumu ya kupindisha maana ya sifa za Allaah kutokana na matamanio ya nafsi?

Jibu: Ni haramu. Inaweza kuwa kufuru na inaweza vilevile kuwa maasi.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/180)
  • Imechapishwa: 23/08/2020