Kupatwa na shaka ya Tashahhud baada ya swalah

Swali: Baada ya kutoa Salaam nilianza kupatwa na mashaka kama nimesoma Tashahhud ya kwanza au sikusoma. Ni ipi hukumu?

Jibu: Shaka baada ya kumaliza ´ibaadah inapuuzwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 07/12/2016