Kupandisha macho juu wakati wa kuomba du´aa

Swali: Je, inapendeza kunyanyua macho juu wakati wa kuomba du´aa?

Jibu: Linahitaji upambanuzi:

– Ikiwa ni ndani ya swalah ainamishe macho yake.

– Ikiwa ni nje ya swalah jambo ni lenye wasaa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24223/هل-يستحب-رفع-البصر-عند-الدعاء
  • Imechapishwa: 14/09/2024