Kila mwenye kumsikia mchemuaji kumtakia rehema

Swali: Kila mwenye kumsikia mwenye kuchemua anatakiwa kumtakia rehema?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“… itakuwa ni haki kwa kila mwenye kumsikia.”

Kusema kwamba ni wajibu ni jambo linahitaji kuangalia vyema. Ni Sunnah iliyokokotezwa. Hata hivyo maoni yanayosema kuwa ni nguvu yana nguvu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24226/هل-يجب-التشميت-على-كل-من-سمع-العاطس
  • Imechapishwa: 14/09/2024