Swali: Baadhi ya wanachuoni wamemjuzishia mwanamke aliyefunga kuonja chakula ikiwa anataka kujua kilivyo chakula kwa sharti chakula hicho kisifike kooni. Je, hili ni sahihi?

Jibu: Hakuna ubaya kwa mtu kuonja chakula mchana wa Ramadhaan wakati wa haja. Swawm yake ni sahihi midhali hakukusudia kumeza kitu katika chakula hicho.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/332)
  • Imechapishwa: 18/06/2017