Swali: Msafiri aliyefunga afanye nini ikiwa anasafiri kwenda mji mwingine na kitu kingine zaidi ya maji tu?

Jibu: Ikiwa mtu amefunga na jua likazama na hakupata kitu kingine cha kufunguza isipokuwa maji peke yake basi afunguze kwa maji. Kwa sababu kukata swawm kwa tende ni jambo limependekezwa na sio wajibu.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/335)
  • Imechapishwa: 18/06/2017