Kuondosha najisi sehemu tatu kabla ya kuswali

Katika kuhifadhi twahara ni pamoja na kuondosha najisi:

1 – Katika mavazi yako.

2 – Mwili wako.

3 – Mahali pa kuswalia.

Ni lazima kutwahirisha sehemu hizi tatu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/366)
  • Imechapishwa: 25/05/2023