Swali: Je, inajuzu kuomba du´aa katika dwalah ya faradhi kwa kitu katika mambo ya kidunia kama kwa mfano kusema “Ee Allaah! Ninakuomba mali, nyumba au mengineyo” katika mambo ya kidunia?
Jibu: Kuishilia kuomba dunia haijuzu. Wanasema kuwa hili linabatilisha swalah. Ama akijumuisha katika du´aa yake baina ya dunia na Aakhirah, hili halina neno. Hili ni jambo zuri:
رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
“Mola wetu Tupe katika dunia mema na katika Aakhirah pia Tupe mema na tukinge na adhabu ya Moto.” (02:201)
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2014
Swali: Je, inajuzu kuomba du´aa katika dwalah ya faradhi kwa kitu katika mambo ya kidunia kama kwa mfano kusema “Ee Allaah! Ninakuomba mali, nyumba au mengineyo” katika mambo ya kidunia?
Jibu: Kuishilia kuomba dunia haijuzu. Wanasema kuwa hili linabatilisha swalah. Ama akijumuisha katika du´aa yake baina ya dunia na Aakhirah, hili halina neno. Hili ni jambo zuri:
رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
“Mola wetu Tupe katika dunia mema na katika Aakhirah pia Tupe mema na tukinge na adhabu ya Moto.” (02:201)
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
Imechapishwa: 09/11/2014
https://firqatunnajia.com/kuomba-mambo-ya-kidunia-na-aakhirah-katika-swalah-ya-faradhi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)