Swali: Kumuomba Allaah kwa haki ya viumbe kama kwa mfano ya mtu kusema “Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kwa haki ya kipenzi Chako Ibraahiym”…

Jibu: Hapana. Hakukuthibiti kitu juu ya kuomba kwa haki ya viumbe, hapana. Hakukuthibiti kitu juu ya hili. Hili ni jambo limezushwa na watu wa Bid´ah. Mtu asiombe kwa haki ya viumbe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014