Kuoga kwa ajili ya ijumaa kunakuwa baada ya alfajiri

Swali 173: Vipi kuhusu kuoga kwa ajili ya ijumaa kabla ya alfajiri?

Jibu: Hapana, bali ni katika mchana baada ya alfajiri. Lililo bora zaidi ni kuoga wakati wa kwenda ijumaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 74
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´