Swali 172: Ni kiasi gani cha saa za siku ya ijumaa?

Jibu: Mchana umegawanyika na una saa kumi na mbili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 75
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´