Swali: Shaykh wetu, nitaoa mwanamke ambaye si msomi. Ni ipi nasaha yako?
Jibu: Ikiwa ni mtu wa Dini haidhuru, sawa akiwa ni msomi au asiyekuwa msomi. “… shikilia (chagua) mwenye sifa za Dini utasalimika.”
- Muhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=fhpy1kuUKVo
- Imechapishwa: 21/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket