Swali: Kuna mwanaume ambaye kaoa mwanamke mwenye kupooza (paralyzed). Je, mwanaume huyu ana fadhila za zaidi?
JIbu: Ikiwa alikuwa ni mwenye nia juu ya hili, anataka kumsitiri, kumtendea wema kwa hili na kusimama kwa kumuhudumia, Allaah Hatomnyima ujira wake.
- Muhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oatA1B5IjPw
- Imechapishwa: 21/03/2018
Swali: Kuna mwanaume ambaye kaoa mwanamke mwenye kupooza (paralyzed). Je, mwanaume huyu ana fadhila za zaidi?
JIbu: Ikiwa alikuwa ni mwenye nia juu ya hili, anataka kumsitiri, kumtendea wema kwa hili na kusimama kwa kumuhudumia, Allaah Hatomnyima ujira wake.
Muhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oatA1B5IjPw
Imechapishwa: 21/03/2018
https://firqatunnajia.com/kuoa-mwanamke-mlemavu/