Kuoa katika kumi la mwisho la Ramadhaan

Swali: Ni bora zaidi kuepuka kufunga ndoa katika siku kumi za mwisho [wa Ramadhaan] kwa kutumia kipimo cha kuwaepuka wanawake?

Jibu: Hapana. Hakukuja kitu kinachokataza ndoa katika siku kumi za mwisho. Mtu anaweza kuoa hata kama itakuwa katika siku kumi za mwisho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015