Swali: Ni kweli kwamba swalah za mwenye kunywa pombe hazikubaliwi kwa siku arubaini?
Jibu: Mwenye kunywa pombe ameasi na ametenda dhambi kubwa. Anahukumiwa ufuska na anasimamishiwa adhabu ya Kishari´ah juu ya kunywa pombe. Lakini akitubu kwa Allaah anamsamehe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/09-03-1436.mp3
- Imechapishwa: 03/12/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)