Swali:  Ni kweli kwamba swalah za mwenye kunywa pombe hazikubaliwi kwa siku arubaini?

Jibu: Mwenye kunywa pombe ameasi na ametenda dhambi kubwa. Anahukumiwa ufuska na anasimamishiwa adhabu ya Kishari´ah juu ya kunywa pombe. Lakini akitubu kwa Allaah anamsamehe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/09-03-1436.mp3
  • Imechapishwa: 03/12/2017