Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kumsomea Ruqyah mtoto wake wa kiume, rafiki yake wa kike au ndugu yake?

Jibu: Hakuna neno kwa hilo. Matabano yanafanywa na mwanaume na mwanamke pia. Inafaa kwa wote wawili kufanya. Ni sababu miongoni mwa sababu za ponyo kwa idhini ya Allaah (Subhaanah).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/09-03-1436.mp3
  • Imechapishwa: 03/12/2017