Kunasemwa nini pindi maiti anapowekwa ndani ya kaburi?

Swali: Kunasemwa nini pindi maiti anapowekwa ndani ya kaburi lake?

Jibu: Wanachuoni (Rahimahumu Allaah) wanasema yule anayeliweka anatakiwa kusema:

بسم الله و على ملة رسول الله

“Kwa jina la Allaah na kutokana na dini ya Mtume wa Allaah.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/181)
  • Imechapishwa: 26/08/2021