Swali: Ni vipi mtu atanuia kwa niaba ya mtu mwingine? 

Jibu: Niaba inakuwa katika yale mambo yanayokubalika unaibu. Kwa mfano niaba inakuwa katika kugawa swadaqah, kulipa deni, katika Hajj na ´Umrah ikiwa mtu ni mnyonge na mtumzima asiyeweza. Ni sawa pia katika kumuwakilisha mtu. 

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/11974/كيفية-النيابة-عن-الغير-في-العبادة
  • Imechapishwa: 15/11/2023