Swali: Ni vipi mtu atanuia kwa niaba ya mtu mwingine?
Jibu: Niaba inakuwa katika yale mambo yanayokubalika unaibu. Kwa mfano niaba inakuwa katika kugawa swadaqah, kulipa deni, katika Hajj na ´Umrah ikiwa mtu ni mnyonge na mtumzima asiyeweza. Ni sawa pia katika kumuwakilisha mtu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/11974/كيفية-النيابة-عن-الغير-في-العبادة
- Imechapishwa: 15/11/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)