Swali: Mke wa mtu amekufa. Je, inafaa kwa mwanaume kumuoa dada yake?
Jibu: Ndio, inafaa. Ni uharamu wa kipindi fulani tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 10/08/2023