Swali: Mwenye janaba ambaye anachemua amuhimidi Allaah (Jalla wa ´Alaa)?
Jibu: Ndio. Amuhimidi Allaah akipiga chafya, akila na akinywa. Aseme “Subhaan Allaah”, “Laa ilaaha illa Allaah” na “Alhamdulillaah”. Muhimu asisome Qur-aan mpaka kwanza aoge.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23363/ما-الذي-يشرع-للجنب-من-الذكر
- Imechapishwa: 04/01/2024
Swali: Mwenye janaba ambaye anachemua amuhimidi Allaah (Jalla wa ´Alaa)?
Jibu: Ndio. Amuhimidi Allaah akipiga chafya, akila na akinywa. Aseme “Subhaan Allaah”, “Laa ilaaha illa Allaah” na “Alhamdulillaah”. Muhimu asisome Qur-aan mpaka kwanza aoge.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23363/ما-الذي-يشرع-للجنب-من-الذكر
Imechapishwa: 04/01/2024
https://firqatunnajia.com/kumtaja-allaah-katika-hali-ya-janaba/