Dhuhaa ni Sunnah iliyosisitizwa

Swali: Ibn-ul-Qayyim ameongeza katika “Zaad-ul-Ma´aad” kwamba Rak´ah mbili za Dhuhaa ni Sunnah iliyokokotezwa. Je, ni Sunnah?

Jibu: Ni Sunnah iliyokokotezwa.

Swali: Iswaliwe kwa kuendelea au baadhi ya siku?

Jibu: Kwa mwendelezo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23364/هل-ركعتا-الضحى-سنة-موكدة
  • Imechapishwa: 04/01/2024