Kumswalia mwanamke mwenye hedhi msikitini

Swali: Je, mwanamke mwenye hedhi anapokufa anaswaliwa msikitini?

Jibu: Ndio, hapana vibaya. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salam) aliwaswalia wanawake msikitini na hakuuliza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23555/هل-يصلى-على-الحاىض-بالمسجد-اذا-ماتت
  • Imechapishwa: 10/02/2024