Swali: Je, inajuzu kumkataza waziri miongoni mwa mawaziri juu ya minbari wakati anapofanya maovu miongoni mwa maovu au nasaha inakuwa siri kama inavokuwa kwa mtawala?
Jibu: Kuna faida gani kumkataza waziri juu ya minbari? Hakuleti faida yoyote. Kinacholeta ni fitina tu. Ukiona kosa kwa waziri miongoni mwa mawaziri mfikishie kwa kuwaendea na uwafikishie wasimamizi juu ya kosa hilo au mpe ujumbe kwa anayeweza kumfikishia.
Kuhusu kuzungumzia hilo juu ya minbari linaleta madhara zaidi kuliko inavoleta manufaa – ikiwa kama ndani yake kuna manufaa kweli.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-22.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Je, inajuzu kumkataza waziri miongoni mwa mawaziri juu ya minbari wakati anapofanya maovu miongoni mwa maovu au nasaha inakuwa siri kama inavokuwa kwa mtawala?
Jibu: Kuna faida gani kumkataza waziri juu ya minbari? Hakuleti faida yoyote. Kinacholeta ni fitina tu. Ukiona kosa kwa waziri miongoni mwa mawaziri mfikishie kwa kuwaendea na uwafikishie wasimamizi juu ya kosa hilo au mpe ujumbe kwa anayeweza kumfikishia.
Kuhusu kuzungumzia hilo juu ya minbari linaleta madhara zaidi kuliko inavoleta manufaa – ikiwa kama ndani yake kuna manufaa kweli.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-22.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumnasihi-waziri-juu-ya-minbari/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)