Kumkalia eda asiyekuwa mume

Swali: Mbali na mume, mwanamke akitaka kumkalia eda ndugu yake aliyefariki kwa muda wa siku tatu. Je, hiyo ina maana kwamba anatakiwa kujiepusha na mapambo, manukato na mfano wa hayo?

Jibu: Ndio, hiyo ndio maana ya kukaa eda.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 06/05/2023