Bendera nusu mlingoti

Swali: Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kuwaomboleza wafalme na watawala kwa kuinua bendera nusu mlingoti?

Jibu: Wake ndio wanaotakiwa kukaa eda, na si wanamme. Haya ni miongoni mwa matendo ya kipindi kabla ya kuja Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 06/05/2023