Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kupaka hinaa kwenye nywele za kichwani mwake?

Jibu: Ikiwa hinaa hiyo haina harufu nzuri na ni nzuri kwa nywele, kitendo hicho hakina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 06/05/2023