Kumkalia eda asiyekuwa Mahram

Swali: Je, inafaa kwake mwanamke kumkalia eda asiyekuwa Mahram kama vile mwanachuoni au mwanaume mwingine mbora kwake?

Jibu: Ndio, inafaa kwake kumkalia eda kwa siku zisizozidi tatu. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kumkalia eda maiti zaidi ya siku tatu.

Swali: Lakini kwa ambaye sio jamaa…

Jibu: Hadiyth imekuja kwa njia ya kuenea:

“… kumkalia eda maiti zaidi ya siku tatu.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23544/هل-يشرع-للمراة-ان-تحد-على-غير-محرم
  • Imechapishwa: 09/02/2024