Mwenye istihaadhah kukusanya swalah

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kukusanya swalah?

Jibu: Inafaa kwake kukusanya akihitajia kufanya hivo. Inafaa kwake kukusanya kama alivyoidhinishwa mwanamke mjamzito.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23542/هل-يجوز-للمستحاضة-جمع-الصلاة
  • Imechapishwa: 09/02/2024