Swali: Kutoa jina kumpa mtoto ni haki ya mume au mke au wote wawili?
Jibu: Kutoa jina kumpa mtoto ni haki ya baba yake. Yeye ndiye anatakiwa kumchagulia jina na kumfanyia ´Aqiyqah kwa kumchinjia. Hii ni haki ya mtoto juu ya baba yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-23.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)