Swali: Kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah ni haramu na shirki. Ni ipi hukumu ya Shari´ah juu ya kumchinjia mgeni au ndugu?
Jibu: Kuchinja kwa ajili ya kujikurubisha kwa yule unayemchinjia, kwa ajili ya kuleta manufaa na kuzuia madhara, ni shirki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amemlaani mwenye kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.
Ama kuhusu kuchinja kwa jina la Allaah (Ta´ala) kwa ajili ya kumlishiza mgeni au ndugu ni sawa.
- Muhusika: al-Najnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Najnah ad-Daaimah (01/129)
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket