Swali: Kubloki kwa mfano kwenye Whatsapp kunazingatiwa ni aina fulani ya kumkata muislamu?

Jibu: Ikiwa kumbloki kunatokana na upindaji wa kidini, hapana vibaya. Bali inaweza kuwa hata lazima. Ikiwa umejaribu kila njia kumshauri na kumwelekeza lakini isifue dafu, basi kumkata inaweza hata kuwa jambo la lazima.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=m-8G0YkAOkk
  • Imechapishwa: 31/08/2023