Swali: Nina rafiki ambaye ni Suufiy. Ni ipi njia sahihi ya kumuwekea wazi mfumo sahihi?
Jibu: Mnasihi na umzawadie vitabu ambavyo ndani yake vimeraddi Taswawwuf na makosa ya Suufiyyah. Mzawadie navyo na umnasihi pengine Allaah akamwongoza. Mbainishie Sunnah na mfumo wa Mtume, Maswahabah zake na wenye kufuata mfumo wa Salaf-us-Swaalih.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)