Swali: Mtu akipitwa na swalah ya ´iyd anailipa?

Jibu: Ndio bora.

Swali: Vipi kuhusu swalah ya kuomba mvua?

Jibu: Akifanya hivo ni vyema na ndio bora. Kuna matarajio Allaah akamwitikia du´aa yake.

Swali: Ni vipi ataswali swalah ya kuomba mvua akiwa mwenyewe?

Jibu: Ataswali Rak´ah mbili na atamwomba Mola Wake kwa kusema:

اللهم أَغِثِ العباد، اللهم أغث عبادك

“Ee Allaah! Wateremshie mvua waja. “Ee Allaah! Wateremshie mvua waja wako.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22378/حكم-قضاء-صلاة-العيد-والاستسقاء
  • Imechapishwa: 25/02/2023