Kulalia ubavu wa kulia ndio Sunnah

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwamrisha kulalia ubavu wa kulia. Kwa sababu kufanya hivo ndio bora zaidi. Madaktari wamesema kulalia ubavu wa kulia ni bora kwa mwili na afya zaidi kuliko kulalia ubavu wa kushoto.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/561)
  • Imechapishwa: 29/06/2023