Swali: Kuna mtu anakusudia kufanya pengo kati ya mswaliji na aliye pembeni yake.

Jibu: Si lazima kushikanisha mguu na mguu mwingine.

Swali: Ikiwa vazi la mmoja katika waswaliji ni refu na linavuka kongo mbili za miguu…

Jibu: Kwa hali yoyote ashikanishe mguu kwa mguu mwingine na amnasihi.

Swali: Nguo yake inaondosha unyenyevu?

Jibu: Ashikanishe mguu kwa mguu mwingine na amnasihi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23300/حكم-تعمد-جعل-فرجة-في-صف-الصلاة
  • Imechapishwa: 22/12/2023