Hariri inayofaa kwa wanaume

Swali: Kuvaa hariri.

Swali: Haijuzu kwa wanaume kuvaa hariri. Hata hivyo inafaa kwa wanawake peke yao.

Swali: Hariri iliyochanganywa?

Jibu: Wanaume inafaa vidole visivyozidi vinne. Ni sawa ikiwa ni kiwango cha vidole visivyozidi vinne, kama mfano wa kutia kiraka na vitufe, kwa msemo mwingine sehemu kidogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23297/حكم-لبس-الحرير-للرجال-وما-يجوز-منه
  • Imechapishwa: 22/12/2023